Mgeni mimi

Mgeni mimi

Karibu sana ila ni nyuzi gani ulikua limited nazo mana umejiunga rasmi jana lakini mada zako unazo likes na kucheka au kuchangia ni zile zinazohusu serikali tu hasa hizi dhahama zinazoendelea kutokea mada nyingi za hivyo nakuona ndio zimekusukuma ujiunge rasmi ? Haya karibu bibie alafu umenikumbusha kitu hiyo Avatar yako yule mdada kule west gate ,pamoja na yote karibu.
Yeah napenda jukwaa la siasa sana bila kusahau intelligence forum japo siku hizi hamna jipya ukilinganisha na miaka 6 nyuma
 
Mnamo tareh 9 niliingia jamii forum kama kawaida yangu as a guest ila nilishangaa nalimitiwa kuendelea ku view thread , nilijua ni mtandao nkajaribubtena baadae ikawa hivo hivo ndo ikabidi tu nijiunge rasmi
Cc: njumu za
kosovo
Kumbee haya huyo mwanamama Samantha alikuvutia sana sio?
 
Back
Top Bottom