Mgeni mnipokee

Mgeni mnipokee

Karibu sana mkuu ila epuka mihemuko humu, maana kuna jamaaa kwenye Facebook kwaajili ya mihemuko yake ananyea ndoo au million 7 ada ya schule watt wake.

1.Humu watt under 25 ni wengi sana. ..usichoke kuwapuuza na usichoke kuleta hoja tuifanyie kazi,
2.Ondoa uchama utafika mbali
3.Heshimu kila mtu maana tunajuana kwa ID tu ila kuna wazee wa heshima sana ,ambao kwao ni ma chielf.
4. Leta hoja au habari ambayo ulisha ifanyia kazi na ukiwa na evidence.
5.Ondoa udini. .usipofanya hiyo hoja jako itafutwa.
6.Mengine utajifunzia humu kwenye hoja.
Karibu sana mkuu
Umemkaribisha vemaa sana
 
Back
Top Bottom