Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmmmh!! Ni kweli ila wewe utakuwa mtamu dear!Mke wa mtu sumu ndugu
Wewe ni zaidi ya asali, naomba tuibe mara moja tu halafu tukome kama tulivyokoma kunyonya nyonyo la mama zetu dear!Sijaumbwa kwa jiwe la asali ndugu.
Alikuwa kwenye mpango wa kuniteka ila nkamshtukia mapemaKwani wewe imeshakutokea ndugu ?
Alikuwa kwenye mpango wa kuniteka ila nkamshtukia mapemaKwani wewe imeshakutokea ndugu ?
karibu mgeni, feel at homeNew member in the jf lounge looking forward to share a lot with you guys intellectually.
Mnipokee muchaga halisi from KLM ...
Walahi ukinikubalia nipo tayari kuhonga nyumba, shamba na gari!Hiyo michezo nimeachia vijana.
Ngoja waje wenye ndg zao ambao yamewakutaIla sio wachaga wote waliotaka kukuteka SIO ?
Basi nitakuhonga dushe my dear![emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui wewe kwenu wapi, ila kwetu hivyo tunapewa bure .
Nishike mimi nikushike, tushikamane nikuonyeshe na kukufundisha ban, na terminology nyingine nyingi za humu ndaniNew member in the jf lounge looking forward to share a lot with you guys intellectually.
Mnipokee muchaga halisi from KLM ...
Ni litamu sana buana! [emoji1]Mie sina damu ya kizungu . Hata hilo sihongeki