Mgeni Mtata

Mgeni Mtata

Karibu mgeni mtata mm mwenyeji wako ni zaidi ya mtata walishakosa jina la kunipa walijaribu kuniita hitre nikaonekana nimezidi kuliko yy wakajaribu.kunilinganisha na kiduku hata kwenye kiganja changu hakuenea.hivyo huo utata wako uuache nje ya geti langu.
 
hahaha haya mzee ngoja tutaona
 
Hahahahahhaa it's funny.

Wengi wanaomba kukaribishwa wakiwa wageni siku ya kwanza wanapopewa access ya ku post.

Sasa wewe umesubiri hadi umekuwa Senior Member ndo unaomba kukaribishwa.... hehehehh

Halafu nani kakwambia wewe ni Mtata? Aliyekambia kakudanganya, kama kweli wewe mtata hebu badili avatar weka picha ya miguu yako halisi au mkono wako. Hapo ntajua kuwa kweli wewe mtata hahaha.

Hii msg niliiandika jana usiku ila naituma saa hizi.... usiniulize kwanini.

Baada ya yote mie sio jamvi la wageni hivo hata sikukaribishi, ngoja walioko kwenye kamati ya mapokezi wenye jamvi waje kukupokea na kujukaribisha.

Kwaheriii mgeni mtata, (kale kakitambulisho kako ka zamani usikaache mara moja moja uwe unakatumia kasisahaulike. .... Japo kipya kinyemi hehehehh)

Kasie Matata.
 
haha wewe mchokozi nakujua..staki ugomvi niwache asee..umesema unataka picha ya "mguu wangu" never know kma nudes znaruhusiwa humu.
 
Hahahahahahaa zinaruhusiwa bana wee weekaaa hakuna atayekuuliza. Mie mwenyewe nina ufunguo ntakufungulia iwapo watajaribu kufanya chochote kitu.

Niamini wee weka tuu, uchokozi ndo hulka yangu siwezi acha labda ukae mbali nami hehehee.
 
haha tayari nshatuma..
 
Back
Top Bottom