mwali wako
Member
- Oct 22, 2018
- 36
- 29
Habarini wakuu(in wenyeji voice) nimekuwa nikiperuzi humu tangu miaka mitatu ilopita na leo nimeona niingie rasmi.naombeni ukarimu wenu jamanii cc shunie demiss hajari Madame b na wangineo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaitwa mwali!Kwanini Mimi sitajwagi.nina nuksi au
Na kwanini utaje ma she pekee?
Mgeni unamjua hadi shunie!!Habarini wakuu(in wenyeji voice) nimekuwa nikiperuzi humu tangu miaka mitatu ilopita na leo nimeona niingie rasmi.naombeni ukarimu wenu jamanii cc shunie demiss hajari Madame b na wangineo
I'd nyingine ni ngumu kuziweka kichwani kuwa kama ngoma( nini )wewe na mguu wako kucheza tuKwanini Mimi sitajwagi.nina nuksi au
Na kwanini utaje ma she pekee?
Ulweso Hadi Huwa NaiotaI'd nyingine ni ngumu kuziweka kichwani kuwa kama ngoma( nini )wewe na mguu wako kucheza tu
Ni Mengi Mengine inabidi nikwambie Faragha 😀😀😀😀Aiii wewe Kichwa Kichafu, unaiotaje sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haaaa haaaaa embu ngoja niingie kidogo jikoni nisije unguzaNi Mengi Mengine inabidi nikwambie Faragha 😀😀😀😀
Naelewa Vizuri Mapishi Yako Mama.Haaaa haaaaa embu ngoja niingie kidogo jikoni nisije unguza
Mbona umetaja wote wanawake ujabalance genderHabarini wakuu(in wenyeji voice) nimekuwa nikiperuzi humu tangu miaka mitatu ilopita na leo nimeona niingie rasmi.naombeni ukarimu wenu jamanii cc shunie demiss hajari Madame b na wangineo
Kamanda mwali huyo jinsia ya nini tenaJinsia Yako Mkuu
Mbona umetaja wote wanawake ujabalance gender
Naelewa Vizuri Mapishi Yako Mama.
Ukirudi Usisahau Kunishtua Kule Tuponge Vizuri
Sawa! Mwali me nimependa jina lako tu[emoji4]Jaman hao ndo nimewakumbuka
Teh Teh TehKamanda mwali huyo jinsia ya nini tena
Mgeni unamjua hadi shunie!!
Karibu mwali utakutana na manyakanga,makungwi humu cha muhimu mwali
Ukimpenda mtu humu tuambie tucheze ngoma humu humu(za kizaramo)
Teh Teh Teh
Kamanda Nilikuwa na-comfirm Unajua Vizuri tukisha jilipua tunalipuka kweli😀😀