Mgeni naomba kukaribishwa

Mm ni mgeni nimeeingia leo nafurahia kuungana na familia hii ya jamii forums asanteni
ingawa si mwenyeji sana ila karibu, wenzako wapo humu kibao, wenye akili timamu na wendawazimu kwa kiwango cha kufaulu wapo, ni chaguo lako upande utakaopenda kijihifadhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…