Mikito Mikito
Senior Member
- Jan 15, 2020
- 183
- 1,089
Mm ni mgeni nimeeingia leo nafurahia kuungana na familia hii ya jamii forums asanteni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau kuni follow Kama utapendaasante
sawaUsisahau kuni follow Kama utapenda
nipo yote mkuu asanteNjoo Pm na hela ya kiingilio nikupeleke jukwaa la wakubwa
ingawa si mwenyeji sana ila karibu, wenzako wapo humu kibao, wenye akili timamu na wendawazimu kwa kiwango cha kufaulu wapo, ni chaguo lako upande utakaopenda kijihifadhiMm ni mgeni nimeeingia leo nafurahia kuungana na familia hii ya jamii forums asanteni
okingawa si mwenyeji sana ila karibu, wenzako wapo humu kibao, wenye akili timamu na wendawazimu kwa kiwango cha kufaulu wapo, ni chaguo lako upande utakaopenda kijihifadhi
Mm ni mgeni nimeeingia leo nafurahia kuungana na familia hii ya jamii forums asanteni
nishakalibia si unaona mwenyeweKaribu sana
Jr[emoji769]
nishakalibia si unaona mwenyewe
upweke na hali ya hewa ya dar si unaelewaYeah nimeona unatafuta rafiki wa kike
Jr[emoji769]
Hayaaaaaaaaa.....................Mm ni mgeni nimeeingia leo nafurahia kuungana na familia hii ya jamii forums asanteni
na kweli.........Yeah nimeona unatafuta rafiki wa kike
Jr[emoji769]
nimekuja na kasi ya 4G aahhhhhna kweli.........
upweke na hali ya hewa ya dar si unaelewa