Mgeni naomba kukaribishwa

Mgeni naomba kukaribishwa

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
3,746
Reaction score
2,924
habari ndugu zangu naomba kukaribishwa nipate ujuzi kutoka kwenu
 
Karibu sana. Ila hata mimi nitoe pongezi kwa Ulimakafu, Globu, na Watu8, nadhani watakuwa member wachache sana ambao hawajakaribishwa nanyi humu jamvini. Niwatakie afya njema wakuu na Mungu azidi kuwabariki.
 
Last edited by a moderator:

Shukrani ndugu...

Ubarikiwe sana nawe pia...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom