Mgeni naomba mnikaribishe.

Mgeni naomba mnikaribishe.

Japo mimi sio mwenye nyumba, naamini mwenye nyumba ambaye ni bwana JF, hatajali nikikwambia KARIBU!
Ushauri wangu kwako ni: ya humu yaache humu na usipeleke umbea huko hata kama utakutana na wambea humu. Mji huu una mambo sana. Ikibidi yavumilie, yakikushinda yatue na kuyaacha hapo.
Vile vile, hili ni darasa tosha, jiandae vilivyo!
Karibu tena.
 
oohoooo...

Ndukiiii [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ndoivo mkuu......
Mdada tapeli huyu, maana alipo gundua amekipaka akaamua kutokomea kuanzia tarehe 5 June hajaonekana humu
 
Ndoivo mkuu......
Mdada tapeli huyu, maana alipo gundua amekipaka akaamua kutokomea kuanzia tarehe 5 June hajaonekana humu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kwa io mgen tapel
 
karibu mamylicious ingawa umeingia kwa kashfa telee,vip ulimalizana na mwenye cviatu vyake majuzi?nilikuogopa ghaflA mwanamke mwenzangu
 
Back
Top Bottom