Mgeni siku ya kwanza - kula na kubakisha?

Mgeni siku ya kwanza - kula na kubakisha?

mwali naona upo bussy na ugeni
Hii ilinipata nikiwa night shift jana usiku,
nikachukua kalam na kuanza kumwaga mistari. :A S-omg:

Haya ndio mambo yanayo nifanya nimmiss shangazi...
 
sidhani chakula kiongelewacho ni cha kwenye masinia, someni kati kati, chini na juu ya mistari.
yale yaleeeeeeeeeeeee,ninakotaka mimi ni hapo tu......lol,konnie wawaza hilo tu?
 
ubaya wangu mie sifumbii macho ukweli.

Wanaongelea wali ng'ombe wakati tunaongelea maini ya simba mzee ndiyo yenye madini ya chuma mengi.

yale yaleeeeeeeeeeeee,ninakotaka mimi ni hapo tu......lol,konnie wawaza hilo tu?
 
Umenikumbusha story ya my late bro!
Aliksribishwa lunch, na mdada alikuwa anamfukuzia (lsevya Tbr); kaenda na mshkaji wake. My bro was starving n the food was mmwah! Kwa wanaowajua wadada wa kinyamwezi wa enzi zile (sio kina sisi) watakuwa wanaelewa nikisema the food was mmwah!

So, mdada wa watu (sijui ndio mila) akawaacha wale; yeye kaenda uani kuendelea na shughuli zake. My bro kafukumia lile punga na kuku wa kienyeji, akafuta. His buddy, hakuwa mlaji sana, alibakisha chakula. So my brother baada ya kusikia movement sign ya mshori kuja; akanadilisha plate. Yake iliyo clean kaisogeza kwa mshikaji na ya mshikaji yenye mabaki akaiweka kwake!

Mdada alivyoanza kutoa vyombo; akamuuliza buddy wa bro "shemeji nikuongeze chakula?".
You can imagine nini kilichotokea baada ya my bro na buddy wake kurudi ufisini!

Mwee ilumbuye
 
ubaya wangu mie sifumbii macho ukweli.

Wanaongelea wali ng'ombe wakati tunaongelea maini ya simba mzee ndiyo yenye madini ya chuma mengi.
Kongosho, wewe ukiwa ugenini unakula na kumaliza?
 
Last edited by a moderator:
Mgeni siku ya kwanza???????????usijifanye mjuaji......
Pembeni kuangalia, kila dakika macho chini.....
Tabasamu tupilia.lakini liwe la mbali.....
Mgeni siku ya kwanza...usijifanye mjuaji.....
Nina ugeni mahali leo
thax kwa tips..........

Good luck Smile,am happy for you.Mzima madogo angu jamani
 
Back
Top Bottom