Mgeni wa mapenzi

Kilahunja

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
1,500
Reaction score
343
Ebu sikia hii, jamaa kamtongoza rafik kwa mda kama miez 6, dem kamkubalia tangu novemba..now wamekuwa wapenz ila dem hamuelew mshkaj sa iv ham2mii mesej kila siku kama zaman, inaweza pita siku mbili hawajawasiliana, hii imekaaje wadau, 1.jamaa hana crdt
2. Kashagundua dem kazama tayar hvo anapima upepo
3.au ndo ugen wa mapenz kwa dem kwamba kila cku lazma ajuliwe hali
N:B JAMAA BADO HAJAMMEGA DEM WAKE..
Demu anataka ushaur afanyaje kukabiliana na hi hali na atak kuonekana kapenda sana coz si unajua mwanaume/mke akijua anapendwa sana.
 
Labda huyo mwanaume atakua yuko anakimbiza mwenge mikoani{nahisi sina hakika na kazi yake mvulana} ndomana anakosa muda wa kum sms mpenziwe so avumilie trip ziishe asihofu.
 
naomba namba ya huyo dem nimpe tricks
lazima nimpe yeye ili zifike za moto moto.
 
Like, like

labda huyo mwanaume atakua yuko anakimbiza mwenge mikoani{nahisi sina hakika na kazi yake mvulana} ndomana anakosa muda wa kum sms mpenziwe so avumilie trip ziishe asihofu.
 
Nadhani kwanza huyu binti alikua anajihashua ili asionekane arage la Mbeya,jamaa kachoka bint hakujua kama wako wengi sasa basi amuwache amalize na huyoalokua nae sasa, akishamaliza ata rejea kwake... au asonge mbele.
 
labda huyo mwanaume atakua yuko anakimbiza mwenge mikoani{nahisi sina hakika na kazi yake mvulana} ndomana anakosa muda wa kum sms mpenziwe so avumilie trip ziishe asihofu.

thanx..ntafkisha ujumbe
 
Nadhani kwanza huyu binti alikua anajihashua ili asionekane arage la Mbeya,jamaa kachoka bint hakujua kama wako wengi sasa basi amuwache amalize na huyoalokua nae sasa, akishamaliza ata rejea kwake... au asonge mbele.

Duh, inawezekana
 
Huyo mdada ampigie simu boifriend amuombe wakutane face to face...then walizungumzie hilo suala. Hapo atajua mbichi na mbivu!!
 
Tatizo ni kwamba akikaa baada ya sikumbil anarud kwa mbwembwe anapigiwa simu wanalonga usiku kucha akiulizwa mbona hukuntafuta anajibu hakuwa na pesa, jamaa ni mwalim wa sekondari.
 
labda huyo mwanaume atakua yuko anakimbiza mwenge mikoani{nahisi sina hakika na kazi yake mvulana} ndomana anakosa muda wa kum sms mpenziwe so avumilie trip ziishe asihofu.

jamaa ni mwalimu na mara nying ikifika karibia na mwisho wa mwez ndo huwa na juhud bt katikat kimya kinakuwa kingi, ndo mana dem haelew je ni ukata au?
 
muulie dada usije kuta matumizi yake sawasawana serikali ya jk ndimo maana jamaa anapiga mahesabu
 
muulize dada usije kuta matumizi yake sawa sawa na serikali ya jk ndio maana jamaa anapiga mahesabu
 
jamaa anadengua kabla hajala mzigo??something is wrong
 
Kama huyo dada anampenda kwa dhati huyo mwanaume mwambie amtafute na waliongee hilo suala nahisi wataelewana jinsi ya kujuliana hali kwa namna nyingine zaidi ya simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…