Mgeni wenu nipokeeni

Hivi hiyo badge huwa inatolewa kwa vigezo gani na kuindolewa kwa vigezo gani?
Soma hapa bosi
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Asante sana mkuu... wacha nishuke nayo mdogo mdogo
 
Ndio ndio 😎 karibu jamiiiforums mkuu jukwaa pendwa sana kutoka kusini mwa jangwa la Sahara
Lkn boss wangu si kuna uwezekano wa kurudishiwa,maana hapo kama upo uchi vile tushazoea kablue tick flan hv,,ephen_ anajua lkn hili swalaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…