FREIGHTLINK
Member
- Apr 11, 2016
- 19
- 7
Hahahaah nawe weka yako.weka picha
Ukijiunga tu unakuwa member kamili, lakini inatakiwa uwe unachangia mada mbalimbali zilizopoili uwe member kamili unafanyaje?
karibuHabari members wa JF. Mimi ni mwanachama mpya.
Nimekuwa nanufaika na michango, mawazo, na habari nyingi ndani ya JF, kwa miaka mingi sasa.
Natoa hongera kwa wanachama wote na hasa kwa Founder kwa kazi nzuri.
Naomba msamaha kama kuna chochote nimekosea kwani hii ni mara yangu ya kwanza kuandika kwenye JF
Habari members wa JF. Mimi ni mwanachama mpya.