Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu saaana. Ila uangalifu katika kuchangia mada ndio kitu muhimu. Vinginevyo unaweza kusulubiwa kwa hoja kama vile umekula cha mtu. Usihofu hizo ni changamoto na sote tumezipitia ila tunakuwa wavumilivu na wasikivu.Habari members wa JF. Mimi ni mwanachama mpya.
Nimekuwa nanufaika na michango, mawazo, na habari nyingi ndani ya JF, kwa miaka mingi sasa.
Natoa hongera kwa wanachama wote na hasa kwa Founder kwa kazi nzuri.
Naomba msamaha kama kuna chochote nimekosea kwani hii ni mara yangu ya kwanza kuandika kwenye JF