Mgeni.

Hellow guys.!!!
Mimi ni mgeni humu japo nilikuwa huku kama Guest,
Nimejiunga Rasmi Leo.
Naombeni mnipokee.
Asanten
Welcome... Naona wazee wa fursa walishaanza kukukaribisha kabisa na PM. Utafatwa sana lakini ndio balaa lakujitambulisha mgeni.

Kwa technique za kuwatosa, wauulize expert; sky, miss chagga, miss natafuta, rubii[emoji3]

Conclusion:
Utakutana threads za kuchekesha, kusikitisha etc. News, binafsi nimepunguza kuangalia TV cause habari zote natoa JF. Utajifunza na kuenjoy. Apart from that, karibu.

-callmeGhost
 
Hellow guys.!!!
Mimi ni mgeni humu japo nilikuwa huku kama Guest,
Nimejiunga Rasmi Leo.
Naombeni mnipokee.
Asanten
Mi mwenyewe mgeni Baby Doll, ni pm namba yako ili tufahamiane sisi wageni. Achana na hawa wenyeji sio watu wazuri kabisa
 
Umejuaje? sio kwel kuna wengne wapo Verified(halisi)

Sent from my Android phone
Yaah nimekuwa msomaji huku kabla sijaamua kuwa member. Ndiyo maana nimejua .
Hata hivyo Mimi siyo verified member
 
Asante sana.
Nipo matured enough ...and I know how to deal with them.
Barikiwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…