Mgeni.

Mgeni.

Hellow guys.!!!
Mimi ni mgeni humu japo nilikuwa huku kama Guest,
Nimejiunga Rasmi Leo.
Naombeni mnipokee.
Asanten
Daaah shikamoo kizungu....kwamba ww ni mgeni humu halafu at the same time ulikuwepo km guest
Mgeni na Guest zina same meaning
 
Daaah shikamoo kizungu....kwamba ww ni mgeni humu halafu at the same time ulikuwepo km guest
Mgeni na Guest zina same meaning
Ha ha ha siyo kwamba sijui maana yake.
Kwa Ku comment Mimi ni mgeni . but ninavyosema Guest namaanisha siyo kwamba humu sipajui ila nilikuwa nipo nasoma kama Guest, jf without ID unatambulika kama Guest.
Na ndicho nilichomaanisha.
Asante kwa Ku comment.
 
Hellow guys.!!!
Mimi ni mgeni humu japo nilikuwa huku kama Guest,
Nimejiunga Rasmi Leo.
Naombeni mnipokee.
Asanten
Karbu sana jukwaani ujifunze na ukutane na changamoto mbalimbali za maisha ya watu humu ambazo zitakujenga piah kwa ambazo ni za msingi.
 
Back
Top Bottom