G Godblessme Member Joined Aug 5, 2014 Posts 22 Reaction score 3 Aug 9, 2014 #1 Habari wanaforum. Naipenda sana jf doctor nikaona nisiishie kusoma tu Bali niweze kuchangia mada au kuuliza yanayonitatiza. Mimi ni mwanamke. Nawatakia weekend njema.
Habari wanaforum. Naipenda sana jf doctor nikaona nisiishie kusoma tu Bali niweze kuchangia mada au kuuliza yanayonitatiza. Mimi ni mwanamke. Nawatakia weekend njema.
L loveleen JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 428 Reaction score 113 Aug 9, 2014 #2 ok ndugu unatatizwa na nini? week end njema
G Godblessme Member Joined Aug 5, 2014 Posts 22 Reaction score 3 Aug 10, 2014 Thread starter #3 Ninatatizo la kiafya nitalitengenezea Uzi wake ili wengi waweze kuona @ loveleen
L loveleen JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 428 Reaction score 113 Aug 10, 2014 #4 Godblessme said: Ninatatizo la kiafya nitalitengenezea Uzi wake ili wengi waweze kuona @ loveleen Click to expand... oh pole basi wasilisha hilo tatizo maana hili ndilo jukwaa husika la afya na bila shaka utapata ufumbuzi kwa uwezo wa MUNGU
Godblessme said: Ninatatizo la kiafya nitalitengenezea Uzi wake ili wengi waweze kuona @ loveleen Click to expand... oh pole basi wasilisha hilo tatizo maana hili ndilo jukwaa husika la afya na bila shaka utapata ufumbuzi kwa uwezo wa MUNGU
G Godblessme Member Joined Aug 5, 2014 Posts 22 Reaction score 3 Aug 10, 2014 Thread starter #5 Amen.I will, very soon.