Mgeni

Mgeni

Godblessme

Member
Joined
Aug 5, 2014
Posts
22
Reaction score
3
Habari wanaforum. Naipenda sana jf doctor nikaona nisiishie kusoma tu Bali niweze kuchangia mada au kuuliza yanayonitatiza. Mimi ni mwanamke. Nawatakia weekend njema.
 
Ninatatizo la kiafya nitalitengenezea Uzi wake ili wengi waweze kuona @ loveleen
 
Ninatatizo la kiafya nitalitengenezea Uzi wake ili wengi waweze kuona @ loveleen

oh pole basi wasilisha hilo tatizo maana hili ndilo jukwaa husika la afya na bila shaka utapata ufumbuzi kwa uwezo wa MUNGU
 
Back
Top Bottom