Mghana Nicholas Gyan awasili Tanzania

Mghana Nicholas Gyan awasili Tanzania

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Leo wana Simba tunayo furaha isiyo kifani kumpokea mshambuliaji wetu Nicholas Gyan akitokea Ghana

Mchezaji huyu alikuja Simba Day na kurejea Ghana kumalizia maandalizi.

Ikumbukwe kuwa Gyan ni mfungaji bora wa ligi ya kwao.
 
Tunamkaribisha sana.
Namuona Okwi wa miaka 5 iliyopita ndani Gyan.
Ni fundi haswa labda apigwe yale mambo yaliyofukuliwa pale National Stadium

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_2017-09-02-17-45-13.png
Screenshot_2017-09-02-17-45-13.png
Gyan mfungaj bora labda ligi y chin

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_2017-09-02-17-45-13.png
 
huyu gyan labda atatukomboa kwenye ukosefu wa namba 9 fundi anayelijua goli
 
Leo wana Simba tunayo furaha isiyo kifani kumpokea mshambuliaji wetu Nicholas Gyan akitokea Ghana

Mchezaji huyu alikuja Simba Day na kurejea Ghana kumalizia maandalizi.

Ikumbukwe kuwa Gyan ni mfungaji bora wa ligi ya kwao.
Vizur sana anaweza kutusaidia kupata straika wa kudumu pale msimbazi manake wengine siwaamin kabsa yan.
 
Back
Top Bottom