Mgodi wa Dhahabu ekari 23 zinauzwa Kilindi-25 KM kutoka Mbwewe

Mgodi wa Dhahabu ekari 23 zinauzwa Kilindi-25 KM kutoka Mbwewe

dalalitz

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
3,476
Reaction score
2,087
JE WEWE NI MCHIMBAJI WA DHAHABU, AU UNAFANYA BIASHARA YA KUNUNUA NA KUUZA KWA FAIDA?

Kama hivyo ndivyo, Wacha nikupe deal.

TUNAUZA MGODI MZURI WA DHAHABU.

Mgodi wetu ni rasmi, Wemye vibali kamili kutoka mamlaka husika pamoja na ushahidi kuwa mali ipo na inapatikana.
Namaanisha; Leseni ya uchimbaji, Taarifa ya Ki-jiologia (Upembuzi yakinifu) pamoja na ripoti ya maabara kuthibitisha kuwa dhahabu inapatikana.

Ushahidi zaidi; Migodi mingine jirana yetu watu wanaendelea na shuhuli za uchimbaji yakiwemo pia makampuni makubwa ya Kimataifa.

Ukubwa wa Mgodi ni Ekari 23 (Hekta 9.31).

Bei ni Shilingi za Kitanzania 160M (Milioni Mia moja na Sitini)

Eneo ulipo mgodi ni wastani wa km 25, Ukichepukia Mji wa Mbwewe mbele tu kidogo baada ya kupita Mto Wami kwa kutumia barabara ya Dar/Arusha/Tanga.

Mwenye kuhitaji tafadhari tuwasiliane.

ANGALIZO:
Hii ni biashara halali na Serious,
Atakae jadili au kuuliza Pumba Hatajibiwa.

PM Zihusike kwa maelezo ya kina.
 
JE WEWE NI MCHIMBAJI WA DHAHABU, AU UNAFANYA BIASHARA YA KUNUNUA NA KUUZA KWA FAIDA?

Kama hivyo ndivyo, Wacha nikupe deal.

TUNAUZA MGODI MZURI WA DHAHABU.

Mgodi wetu ni rasmi, Unavyo vibali kutoka mamlaka husika pamoja na ushahidi kuwa mali ipo na inapatikana.
Namaanisha; Leseni ya uchimbaji, Taarifa ya Ki-jiologia (Upembuzi yakinifu) pamoja na ripoti ya maabara kuthibitisha kuwa dhahabu inapatikana.

Ushahidi zaidi; Migodi mingine jirana yetu watu wanaendelea na shuhuli za uchimbaji yakiwemo pia makampuni makubwa ya Kimataifa.

Ukubwa wa Mgodi ni Ekari 23 (Hekta 9.31).

Bei ni Shilingi za Kitanzania 160M (Milioni Mia moja na Sitini)

Eneo ulipo mgodi ni wastani wa km 25, Ukichepukia Mji wa mbwewe.

Mwenye kuhitaji tafadhari tuwasiliane.

ANGALIZO:
Hii ni biashara halali na Serious,
Atakae jadili au kuuliza Pumba Hatajibiwa.

PM Zihusike kwa maelezo ya kina.
Swali langu natumaini halitakuwa pumba,je kwann huchimbi mwenyewe kuliko kuuza?
 
weka coordinates

aS6T6oDgF8ADhjtob HB2oAAAAASUVORK5CYII=
 
Back
Top Bottom