mtungu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2021
- 270
- 435
Ni kweli unatoa kalibu madini yote yanayochimbwa duniani; kwanini kule kuna umasikini wa kutisha hakuna maji wala umeme. Kuna mto umba ndo mtetezi wao kwa maji japo yana magadi ukibandika maharage siku mbili hayaivi.
Tabu ni nyingi sana kule hakuna mawasiliano mitandao ya simu haikamati mpka uende sehem maalumu kuna mbuga pia ya Mkomazi japo hakuna ata hotel ya maana pia jua linawaka sana kule nadra kuona jani bichi chini lemeota. Utajili wa kule wa ma teso