Mgogoro taasisi ya ustawi wa jamii...

Mgogoro taasisi ya ustawi wa jamii...

Kyomakin

Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
6
Reaction score
2
Jamani wana JF, tujaribu kung'amua hili...

Hivi mgogoro unaoendelea Taasisi ya ustawi wa Jamii ni wa kisiasa? Na je, Wizara na top Oficials wengine (hadi JK) wanafahamu nini hasa chimbuko la mgogoro huo na tiba zake....?
 
Back
Top Bottom