Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Issue ya Congo ipo deep sana, wengi tuna conspiracies za kuwa mzungu ndio anacheza kete pale ila ni kuna syndicate ya viongozi wa afrika ndio steringi
Nani aliemrudisha kabila na hadi kumhakikishia usalama?
Je mambo yakienda ndivyo sivyo ni wapi pa kwanza atakimbilia?
Yale madini yanayotengeneza vitu vya electronics ndio mchawi wa haya yote, kuna deep inter-statemen wa kiafrika ndio wanaocheza michezo hii kujihakikishia mali bila kujali damu za watu wasio kuwa na hatia