we umejua leo mkuu? na kituo kikuu kipo NairobiIssue ya Congo ipo deep sana, wengi tuna conspiracies za kuwa mzungu ndio anacheza kete pale ila ni kuna syndicate ya viongozi wa afrika ndio steringi
Nani aliemrudisha kabila na hadi kumhakikishia usalama?
Je mambo yakienda ndivyo sivyo ni wapi pa kwanza atakimbilia?
Yale madini yanayotengeneza vitu vya electronics ndio mchawi wa haya yote, kuna deep inter-statemen wa kiafrika ndio wanaocheza michezo hii kujihakikishia mali bila kujali damu za watu wasio kuwa na hatia
M23 ni kivuli cha RwandaIssue ya Congo ipo deep sana, wengi tuna conspiracies za kuwa mzungu ndio anacheza kete pale ila ni kuna syndicate ya viongozi wa afrika ndio steringi
Nani aliemrudisha kabila na hadi kumhakikishia usalama?
Je mambo yakienda ndivyo sivyo ni wapi pa kwanza atakimbilia?
Yale madini yanayotengeneza vitu vya electronics ndio mchawi wa haya yote, kuna deep inter-statemen wa kiafrika ndio wanaocheza michezo hii kujihakikishia mali bila kujali damu za watu wasio kuwa na hatia
Kabila ana backup ya Kagame.Issue ya Congo ipo deep sana, wengi tuna conspiracies za kuwa mzungu ndio anacheza kete pale ila ni kuna syndicate ya viongozi wa afrika ndio steringi
Nani aliemrudisha kabila na hadi kumhakikishia usalama?
Je mambo yakienda ndivyo sivyo ni wapi pa kwanza atakimbilia?
Yale madini yanayotengeneza vitu vya electronics ndio mchawi wa haya yote, kuna deep inter-statemen wa kiafrika ndio wanaocheza michezo hii kujihakikishia mali bila kujali damu za watu wasio kuwa na hatia
Kagame kaona amuweke Kabila frontKabila ana backup ya Kagame.
Kagame kaona amuweke Kabila front wake baada ya USA kuingia rasmi kupambana na M23 ili tu ionekana M23 ni wacongo wenyewe chini ya Kabila. Lakini ukweli ni kuwa Kagame kaona US yupo kwenye mahaba na Tshikedi na yeye akaamua aweke tofauti zake na Kabila kando na amtumie kuzidi kuitesa DRC.
Kabila amehukumiwa kunyongwa na serikali ya Tshikedi. Hana cha kupoteza kwa sasaKagame kaona amuweke Kabila front
kabila ni pimbi aendeshwe na raisi wa kijiji?
sio kuendesha na pimbi slimKabila amehukumiwa kunyongwa na serikali ya Tshikedi. Hana cha kupoteza kwa sasa
They are convinient to each other. Slim anamtumila ili isijeonekana anapambana na USA (ambao wanamsaidia Tshikedi) na Kabila anapata platform ya kurevange kwa Tshekedi.sio kuendesha na pimbi slim
maybeThey are convinient to each other. Slim anamtumila ili isijeonekana anapambana na USA (ambao wanamsaidia Tshikedi) na Kabila anapata platform ya kurevange kwa Tshekedi.
Mkuu sasa kwanini tuwalalamikie wazungu? Kwanini tukubali wazungu kutugawanya? Kwanini na sisi tusiwachonganishe hao wazungu?Ni wazungu tuu hakuna ubishi. Waafrika akili zetu tunawekeza kwa mtu kama chavayo ambao siku mbili tu kila mtu anajua madudu yake.