wajamani mimi ndi mtanzania ambaye nauchungu na money ambazo baba yangu analipa kodi. kuna habari za kuamininika kwamba ununuzi wa computer ndani ya chuo mzumbe umegubikwa na mabishano ya kimaslahi. kuna watu wawili ambao ndio chanzo cha mgogoro huu; mkuu wa kitengo cha matengenezo na mkurugenzi wa idara ya ICT.
Mkuu wa kitengo ambaye pia ni mkaguzi wa kiufundi wa manununuzi ya chuo amezikataa kutokana na kupatikana na kugundua tatizo katika hilo. Mkurugenzi yeye baada ya kuwa ametembelea kwa kampuni husika anataka hizo computer ziletwe na kama kutakuwa na tatizo alaumiwe yeye.
kitu ambacho ni chakushangaza katika chuo hiki ni kwamba, mkurugenzi wa ICT ndiye mkuu wa kamati ya uchunguzi katika manunuzi pia, ambapo mkuu wa idara ni mjumbe tu katika kamati hii. Najiuliza kama hii imekaa sawa. je huyu mtu atahojiwa na nani?
Nawaomba wadau wafuatilie kwa undani jambo hili kwani kama kuna ukweli tusingependa pesa za walipa kodi zipotee eti kwasababu mtu anataka alaumiwe yeye. juzi tu watu wameliza magari ya walimu mzumbe... kunanini?
Naomba wadau wa mzumbe mtupashe undani wa hili, kibasa, bakari, utoo, msabila, madembwe, nk.
wana jf tusikubali kuliwa hapa. je ni kweli au longo longo?