Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kinyume na katiba ya nchi hiyo Trump amepeleka majeshi ya jimbo lingine(Texas) kafanya kile anachoita operation ya usalama wa raia katika jimbo lingine(Illinois) kwa madai ya ukosefu wa usalama uliopitiliza kiasi cha kuhitaji jeshi kuingilia.
Gavana wa jimbo la California lenye uchumi mkubwa zaidi Marekani ametishia kujitoa katika shirikisho la umoja wa magavana wa nchi iwapo umoja huo hautapinga kitendo hicho kilichofanywa na Trump cha kutumia majeshi ya jimbo moja kuvamia jimbo lingine.