Mgogoro wa majimbo kuzuka US baada ya Trump kutuma majeshi ya jimbo la Texas kuvamia Chicago jimbo la Illinois?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kinyume na katiba ya nchi hiyo Trump amepeleka majeshi ya jimbo lingine(Texas) kafanya kile anachoita operation ya usalama wa raia katika jimbo lingine(Illinois) kwa madai ya ukosefu wa usalama uliopitiliza kiasi cha kuhitaji jeshi kuingilia.



Gavana wa jimbo la California lenye uchumi mkubwa zaidi Marekani ametishia kujitoa katika shirikisho la umoja wa magavana wa nchi iwapo umoja huo hautapinga kitendo hicho kilichofanywa na Trump cha kutumia majeshi ya jimbo moja kuvamia jimbo lingine.
 
Dah Marekani ya sasa imekuwa kama Uganda ya Museveni tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…