Mgogoro wa msanii Diamond na baadhi ya Media

Mgogoro wa msanii Diamond na baadhi ya Media

Kama inavyojulikana Diamond kuwa na mgogoro na baadhi ya wasanii wenzake pamoja na MEDIA kama Clouds FM na tv pamoja na EATV na radio kupiga nyimbo zake lakin na EATV kwa Sasa wanapiga ngoma zake.

Je, tofauti zao washazimaliza?
Sasa unataka tufanyeje mkuu? Mambo ya Diamond hayatuhus sisi, wenzio tuko bize na mfungo wa ramadhani na kufanya kazi....wewe vipi mwenzetu, hauna kazi ya kufanya?
 
Huo mgogoro unakuathiri vp maisha yako!
Au mondi atakupunguzia gharama ya vitu kwa sasa

Ova
 
Back
Top Bottom