Mgogoro wa ndoa: Tuanze kuwajengea nyumba wazazi wa nani?

Miaka 36 unasubiri ujengewe nyumba ya wazazi wakona mkeo?
Muda wote ulikuwa wapi?
Imeshatokea anza upya simama kama mume, baba,mtoto kwa wazazi wa pande zote, jirani,rafiki na jamii inayo kuzunguka tambua wewe ni nani na utambue majukumu yako kwenye familia na jamii kwa ujumla
Kuhusu mke akiona umeamua kusimama kwenye nafasi yako atakusaport na maisha yenu ya ndoa yatakuwa mazuri
 
Wewe ndio ngosha asilia kabisa

Unajua majukumu yako

Wewe kwa stairi hiyo mkeo lazima akuheshimu na akuone ni mhimili wa familia

Achana na hawa wanaume wanaolilia usawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…