Mkuu Mwalimu mgogoro unahusu pande mbili zenye mafuta kwa wingi duniani."Mwalimu, post: 21757350, member: 11689"]
Unafikiri athari za mgogoro huu zitakuwa kubwa kiasi gani kwa pande zote mbili hususan Qatar itaathirika vipi kwa kufungiwa milango na Saudia?
Yes Qatar ni mshirika wa Iran ambaye ni mshirika wa Russia.Huoni kwamba kwa kuitenga Qatar inaweza kuchochea wao kusogea zaidi upande wa Iran? Juzi tu hapa tumeona Iran ikisafirisha shehena ya misaada kwenda Qatar.
Ndiyo US wana base Qatar wana air base Kuwait.Na hapo tusisahau kwamba Marekani ana kambi kubwa ya kijeshi nchini Qatar. Kwa kitendo cha Marekani kuonekana akiegemea zaidi upande wa Saudia inaweza kuathiri mahusiano yake na Qatar na inaweza kuleta sintofahamu juu ya uwepo wa majeshi yake Qatar
My take1. Curb diplomatic ties with Iran and close its diplomatic missions there. Expel members of Iran’s Revolutionary Guard from Qatar and cut off any joint military cooperation with Iran. Only trade and commerce with Iran that complies with US and international sanctions will be permitted.
Saudia iliwahi ku declare lini makundi hayo ikiwa 'inahusishwa' na yote kuanzia Sept 11?2. Sever all ties to terrorist organisations, specifically the Muslim Brotherhood, ISIL, Al Qaeda, and Hizbollah. Formally declare those entities as terrorist groups.
Hii ni kwasababu station inaanika madudu ya falme hasa kuhusiana na suala la mahusiano ya Kingdom na US na jinsi gani inaathiri nchi za kiislam. Aljazeera ina highligh human right violation kuanzia Saudia Arabia hadi Israel. Kwahiyo Qatar inagusa interest za 'US'3. Shut down Al Jazeera and its affiliate stations.
Kwa maneno mengine Qatar isiwe na station zake na itegemee habari za GCC na UAE. Saudia inataka iwe na uwezo wa ku control nchi za kiarabu kama ilivyofanya wakati wa ziara ya Trump kwa kukusanya nchi zote zikaja 'Kingdom' kupokea maagizo4. Shut down news outlets that Qatar funds, directly and indirectly, including Arabi21, Rassd, Al Araby Al Jadeed and Middle East Eye.
Well, nchi hizo hazitaki Turkey iwe na shughuli za kijeshi Qatar. Kwa taarifa Turkey ina jeshi Qatar. US ina base Qatar. Kwanini majeshi ya Turkey tu ndiyo yanayotakiwa kuondoka?Hili nalo linarudi pale pale kwamba kuna ushirika wa Trukey, Iran unaoponza Qatar5. Immediately terminate the Turkish military presence currently in Qatar and end any joint military cooperation with Turkey inside Qatar.
Angalia, nchi za Kiarabu na US na wengine. Kwanini wengine hawatajwi ? Hii inaelekeza kuwa maagizo ni ya wale viongozi wa nchi waliokutana na Trump Saudia Arabia6. Stop all means of funding for individuals, groups or organisations that have been designated as terrorists by Saudi Arabia, the UAE, Egypt, Bahrain, the US and other countries.
Saudia iliwahi ku freeze assets za washiriki wa 9/11? Iliwahi kutaja makundi inayofadhili kule Afganistan na Pakistan? Kwanini Saudia inatuhumiwa kuficha habari za magaidi?7. Hand over terrorist figures and wanted individuals from Saudi Arabia, the UAE, Egypt and Bahrain to their countries of origin. Freeze their assets, and provide any desired information about their residency, movements and finances.
Wanaposema interference wanamaanisha asiingilie mambo ya 'Gaza'. Qatar kama nchi huru ina uwezo wa kuwa na mahusiano na taifa lolote. Si kazi ya Arab world kuwapangia nani awe rafiki nani awe adui. Kama Qatar inaingilia mambo ya nchi zingine, wanaopaswa kulalamika ni nchi husika si nchi za Kiarabu. Pili pili shambani ....?8. End interference in sovereign countries’ internal affairs. Stop granting citizenship to wanted nationals from Saudi Arabia, the UAE, Egypt and Bahrain. Revoke Qatari citizenship for existing nationals where such citizenship violates those countries’ laws.
Hapa wanamaanisha Brotherhood, Hamas na moderates wanaotaka Arab spring kama ilivyokuwa Bahrain na kwingineko.9. Stop all contacts with the political opposition in Saudi Arabia, the UAE, Egypt and Bahrain. Hand over all files detailing Qatar’s prior contacts with and support for those opposition groups.
Hey! Magaidi wa 9/11 walitokea Saudia. US kuna kundi linadai compensation hadi leo, iweje wao wasilipe kwanza waanze kunyooshea vidole wenzao. Je, Saudia italipa yanayotokea Yemen ambako Raia wasio na hatia wanakufa kwa mabomu?10. Pay reparations and compensation for loss of life and other, financial losses caused by Qatar’s policies in recent years. The sum will be determined in coordination with Qatar.
OK! kwamba wajiunge na majeshi ya nchi za Kiarabu. Qatar ni sovereign state ina kila haki ya kujiunga au kukataa bila kuingilia au kuingiliwa, kwanini ilazimishwe11. Align itself with the other Gulf and Arab countries militarily, politically, socially and economically, as well as on economic matters, in line with an agreement reached with Saudi Arabia in 2014.
Non sense kwasababu masharti waliyoweka ni kuilamisha Qatar na kuondoa uhuru wake. Ni kutaka Qatar iwe chini ya Falme za Saudia kama zilivyo vinchi vingine visivyojiweza. Kwanini Qatar asipewe nafasi ya kujadiliana bali apewe masharti? ile sovereignty ipo wapi12. Agree to all the demands within 10 days of it being submitted to Qatar, or the list becomes invalid. The document doesn’t specify what the countries will do if Qatar refuses to comply.
C'on! ni nchi gani nyingine inayofanyiwe audit kama Qatar. Haya yote ni kutaka kutoa nafasi kwa US kutimiza azma yake hayana faida kwa nchi za Kiarabu na Saudia inatumika kama mpini.13. Consent to monthly audits for the first year after agreeing to the demands, then once per quarter during the second year. For the following 10 years, Qatar would be monitored annually for compliance.
Mkuu Mwalimu
Bandiko lako linarudi kwa kuzingatia hali ya mambo ilivyo katika uhusiano baina ya Saudia na US
Kwa bahati mbaya Saudia wanadhani US ipo kwa masilahi yao
Kurushiana maneno kati yao ni dalili za kuchokana.
Saudia waliwatosa Wapalestina wakisema ni wakati wa kukubaliana na Israel
Saudia walimaanisha Palestina wachukue chochote kitakachowekwa mezani. Jambo hilo lilizidi kuwatia kiburi US ambao wamekata misaada na kufunga ofisi za Wapalestina
Saudia wanashindwa kuelewa US si msuluhishi(honest broker) mzozo wa Israel na Palestina. US ina upande wa Israel na inalinda masilahi ya nchi hiyo kwa gharama zozote
Lengo la US na Israel kuikumbatia Saudia ni kupata mwanya wa kuiumiza Iran
Iran ndio tishio kwa Israel baada ya Saadamu Hussein.
Tofauti na Saudia, Iran imeendelea kiteknolojia na uwezo wa kubuni na kutengeneza vitu vyake
Vikwazo dhidi ya Iran vilivyowekwa na US vinaiumiza na kuidhoofisha Iran.
US na Israel hazioni tena umuhimu wa Saudia na ndicho chanzo cha kauli tata baina yao
Saudia wanajiweka katika mazingira magumu. Kununua silaha kutoka US/Israel ni kujianika
Wanaouza silaha wanajua wanauza nini. Kwa maneno mengine usalama wa Saudia ni kushambulia nchi jirani na mahasimu. US na Israel wanajua uwezo wao kiulinzi
Kuingilia kati kwa Turkey mzozo wa Qatar kumesaidia kupunguza joto kidogo
Turkey inaonekana taifa dhaifu ndani ya bara ulaya, ukweli ni tishio la kiusalama kwa Israel
Hili nalo kinachagiza US kuingilia siasa za ndani za Turkey kwa kisingizio cha haki za binadamu
Siasa za middle east zina mazonge zonge mengi. Ikiwa Saudia ni mshirika wa US/Israel, silaha za mabilioni ni kwa ajili ya nani? Jibu ni rahisi , ni kuwaadhibu ndugu zao waarabu majirani
Ikiwa Saudia ni nchi takatifu inayolindwa kutokana na imani kama kitovu cha Uislam, silaha nyingi ni za kulinda nini? Saudia inaweza kulindwa na Waislam kwa mabilioni, ni vipi basi nchi hiyo takatifu ijilimbikizie misilaha?
Mkuu Saudia si kwamba walimpenda Trump."Mwalimu, post: 28688609, member: 11689"]Baada ya majibizano ya hivi karibuni nafikiri Saudia ndio wataanza kujifunza kwamba marekani especially chini ya utawala huu sio mshirika anayetabirika. trump ziara ya kwanza middle east, Saudia na kuwamwagia sifa kedekede na silaha... sasa anawapiga kijembe hawawezi kusurvive bila US kitu ambacho ni dharau kwa watawala wa Saudia
Mkuu kwa mtazamo wa Kishia na Kisuni hakuna Uhasama.Msingi mkubwa wa yote haya ni kwamba nchi za kiarabu hawana umoja kutokana na uhasama wa kidini kati ya SUNNI na SHIA unaokwenda karne nyingi nyuma. Na uhasama huu ndio umechangia kwa kiasi kikubwa uadui dhidi ya Iran pamoja na vita inayoendelea huko Yemen ambapo Saudia na Iran wanapigana "proxy war"
Nadhani nilimelichangia hapo juu kwa kinaNafikiri pia uhasama huu ndio unachangia Saudia isiipe kipaombele strugle ya wapalestina wanaoungwa mkono na makundi kama HAMAS & HEZBOLLAH wanaosaidiwa na Iran/Syria.
Kama nilivyoeleza, tatizo siyo Shia na Sunni, ni Shia kutoka Iran na Sunni wa Saudia wakigombea utawala na umiliki wa middle east, siyo dini kama UislamUhasama na uadui huu SHIA vs SUNNI ni mkubwa mno na Saudia wako tayari kushirikiana na Israel kuliko kukaa meza moja na mahasimu wao wakubwa IRAN
Kwa taarifa hii inaonekana kuna ufuatiliaji wa tukio hili kama lilikuwa limepangwa na waliolipanga nikama walikuwa wanahakikisha utekelezaji wake.Awali mitandao ya usafiri ya US ilionyesha safari za watu 15 waliokodi ndege ya Gulstream
iliyofika Instanbul usiku wa saa 9 siku ya Oktoba 2
Walifikia hotel ya Movenpick na nyingine kisha walielekea ubalozi wa Saudia
Katika kujiandikisha hotelini walisema watakaa siku kadhaa nchini Turkey
Mkuu hapa ungetusaidia ufafanuzi kidogo. Ni mauaji yapi yale mapigano kati ya Russia na UK miaka ya 1600, ama mauaji yapi. Kama unazungumzia matukio ya karibu na Salisbury basi utakuwa utendi haki; nadhani maelezo yake yatahitaji mjadala mwingine. Ngoja tuendelee na hii ya 'Jamal'Nchi za Ulaya hasa UK wanakumbukumbu ya kutoka wauaji wa Russia
Hii ni sahihi kabisa. Na interest zake si kwa manufaa kwa wasaudia wala ufalme wa saidia. Interest zake ni za win(US)-lose(Saudia).Marekani ina interest kwa Saudia wakishirikiana na Israel dhidi ya Iran
asante kwa taarifa juu ya asili ya Kuhsner. Ndiyo maana wamarekani walikaa kimya juu kuteuliwa kwake kama mwandani wa WH. Hata hivyo, Phalestine imekataa usuluhishi wa US (Kushner) kati yake na Israel. Kwa hiyo kuendelee kumtambulisha Kuhsner kama msuluhishi nadhani si sahihiKuhsner ni msuluhishi wa mzozo wa mashariki ya kati kati ya Israel na Palestina.
Kwa asili Kuhsner ni Myahudi na Rafiki mkubwa wa MbS, mfalme wa Saudia
Nadhani utata haupo. Inasemekana 'Jamal' hakuingia na simu bali aliingia na saa. Saa ambayo ilikuwa 'synchronised' na simu aliyokuwa amemuachia 'mchepuko' wake (Maana alikuwa bado hajamuoa huyo Mturuki wala kumtariki mkewe wa huko Saudia). Saa ndiyo iliyonukuu tukio zima. Na inasemekana watesi walipogundua hilo, waliamua kutumia vidole vya 'Jamal' kuifungua hiyo saa na kisha kufuta baadhi ya matukio.Ushahidi wa sauti na picha unazua utata. Inasemekana, Jamal aliacha sim nje kwa mchumba wake na aliingia na simu ya mkononi iliyonukuu mambo yaliyoendelea
Turkey wanasimamia kwenye hizo kamera za majirani na video na sauti zilizotumwa na saa ya 'Jamal' kwa mchepuko wake uliokuwa umemsubiri nje.Kama si hivyo, picha inazosema Turke, imezipata kutoka wapi?
Hapa ndipo inapoonekana huenda kulikuwa na Camera zilizowekwa ndani ya ubalozi
Kwa jinsi US ilivyokwisha kuchukua 'coordinates' zote za nchi ya Saudia ni halali kuwa kwa sasa kusema US ndiye mlizi wa ufalme ule wa Saudia.Saudia inaitumainia US kiulinzi ili kukabiliana na wimbi la upinzani wa tawala la kifalme linalojitanda, na ili kukabiliana na kushamiri kwa makundi hasimu