Barakate I have
JF-Expert Member
- Nov 16, 2021
- 736
- 664
Nato na marekani Ni level nyingine mkuu.kunusuru UCHUMI wa dunia na kuiacha DUNIA kuwa na AFYA njema inapaswa NATO na US iachane na VITA hii isiyo na FAIDA yoyote Zaidi ya hasara kubwa wasioitegemea
Hakuna anaekubaliana na UVAMIZI wa URUSI Ukraine ila anachofanya URUSI ni kujilinda kwa namna yoyote ambapo hata yeye US asingekubali MEXICO iingie uhusiano wa kijeshi na URUSI kisha urusi ikadai kuilinda MEXICO kijeshi
wote tuliona URUSI kwa mwaka mmoja nyuma hakuwa na NIA ya kuivamia UKRAINE na hata kwa miaka ya nyuma kabla uvamizi CRIMEA walikuwa na uhusiano mzuri tu
ila CHOKOCHOKO za US ndio zilizopelekea URUSI kufikia hatua hiyo iliyopo sasa
Inachopaswa US na washirika wake waache ubwanyenye 7bu URUSI sio lelemama ipo Vizuri hata kma wataamini wakiingiza majeshi yao watashinda VITA
Ni sawa ila ATHARI zitakazojitokeza HAZITATIBIKA mpk DUNIA itakapofikia ukingoni 7bu siraha walizonazo wote NATO na URUSI ni za hatari mno
Sasaivi tunaweza kumshinda uchumi mrusi[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]