Mgogoro wa Ukraine, Maseneta wa Marekani Wasema Trump Ni Kibaraka wa Putin, Anaongea Kwa Niaba Yake Binafsi

Trump hajawai shindwa akiamua jambo lake...na hili yalishindwa tu.
 
Trump yup sahihi hatuwezi kuendelea na vita milele lazima ifikie sehem amani ipewe nafasi.
 
maseneta gani kwanza hao? ni domocrat au Republicans waliosema hivyo ? mnasahau vita ya ukraine imeikost USA billions of dollars wakati US haina mpaka na ukraine, hiyo fedha wanaihitaji huko kwao USA na siyo ukraine …
vipi na vita vya Gaza vimewakosti wayemen kiasi Gani je wana mpaka na israel
 
Trump yup sahihi hatuwezi kuendelea na vita milele lazima ifikie sehem amani ipewe nafasi.
anayeendelea na vita ni nani kati ya Urusi na Ukraine embu tujitahidi kupunguza unafiki wa kishabiki umeambiwa mvamizi na jambazi Putin anapewa kipaumbele na mvamiwa Ukraine anahukumiwa
 
CCM inakubaliana na ushoga/LGBQT?

Unajua Singeli wewe?

CCM inatambua vikundi vyote vinavyosapot uvunjifu wa maadili ya mtanzania na hata kuwaita kwenye vikao vya chama .

Na sasa Singeli umekua ni wimbo wa Taifa la CCM ?
Mziki uliojaa maudhui ya ushoga na Uharibifu wa taasisi ya ndoa .
 
Watakuwa democratics... Trump yeye ni mzee wa business. Soon ataondoa vikwazo kwa russia wakati ulaya wanashangaa shangaa na wanapambana na kununua mafuta na gas kwa bei juu kwa madalali wanaoyanunua kwa russia kisa hawataki yanunja directly.
Marekani inawauzia Ulaya LNG kwa bei kubwa kuliko waliyokuwa wananunua Russia
 
maseneta gani kwanza hao? ni domocrat au Republicans waliosema hivyo ? mnasahau vita ya ukraine imeikost USA billions of dollars wakati US haina mpaka na ukraine, hiyo fedha wanaihitaji huko kwao USA na siyo ukraine …

Jibu lipo ndani ya taarifa hiyo kuwa baadhi ni democrats na baadhi ni republicans.
 
Maseneta mbalimbali wanasema hawakubaliani na mtazamo wa Putin katika kuumaliza mgogoro wa vita ya Ukraine kwa vile Trump anatumika na Putin kulazimisha matakwa ya Putin.

Jumatano iliyopita, Rais Trump akiwa Miami alisema kuwa Zelenskyy lazima akubaliane na mpango wa kumaliza vita, au la ajiandae kukosa Taifa la kuongoza.

Maneno hayo ya kibabe ya Trump yameshambuliwa na wademocrat na baadhi ya warepublican kwa vile mvamizi amepewa kipaumbele dhidi ya aliyevamiwa.

Maneno mengine ya kejeli yaliyolalamikiwa na Wamarekani ni pamoja na Trump aliposema, 'fikiria a comedian anaongea na Serikali ya Marekani, halafu Marekani inakubali kutumia dola bilioni 350 kwenye vita ambayo Ukraine haiwezi kushinda, vita ambayo haikustahili kuwepo".

Lakini mkaguzi mkuu wa Serikali anasema Marekani ilitumia dola bilioni 183 kwenye vita ya Ukraine, siyo dola billion 350. Kwa hiyo Trump ni muongo.

Trump pia alieleza kuwa Ukraine ndiyo ilianzisha vita, kauli ambayo imewashangaza watu wote, kwa sababu ni ya uwongo.

Seneta wa New York Chuck Schumer, amesema kuwa ni aibu kubwa kwa Rais wa Marekani kujitenga na marafiki na kuamua kushikamana na jambazi Putin.

Seneta John Kennedy amesema kuwa hakubaliani kabisa na Trump kuwa eti Ukraine ndiyo chanzo cha vita. Akasema kuwa anajua kuwa Putin ni mhuni mwenye moyo mweusi ulioonja ladha ya udikteta wa Stallin.

Seneta Dirk Drbin amesema kuwa maneno ya Trump ni matusi kwa Waukreni waliopoteza maisha na ndugu zao. Na amemtaka Trump awaombe msamaha wananchi wa Ukraine. Akaongeza kuwa Trump ni kibaraka wa kusukuma agenda za Putin.

Kiongozi wa Wabunge walio wengi wa Republican, seneta John Thune, amesema kuwa maneno ya Trump ni ya kwake binafsi.

========================================================

MIAMI (AP) — President Donald Trump on Wednesday warned Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy that he “better move fast” to negotiate an end to Russia’s invasion of Ukraine or risk not having a nation to lead.
Trump said, “Think of it, a modestly successful comedian, Volodymyr Zelenskyy, talked the United States of America into spending $350 Billion Dollars, to go into a War that couldn’t be won, that never had to start, but a War that he, without the U.S. and ‘TRUMP,’ will never be able to settle,”
U.S. has obligated about $183 billion since Russia invaded Ukraine in February 2022, according to the U.S. special inspector general, conducting oversight of American assistance to Ukraine.

Trump’s harsh words for Zelenskyy drew criticism from Democrats and even some Republicans in the United States, where Ukraine’s defense against Russian aggression has had bipartisan support.

Senate Democratic leader Chuck Schumer of New York was appalled that Trump was blaming Ukraine for Russian President Vladimir Putin’s invasion.

“It’s disgusting to see an American president turn against one of our friends and openly side with a thug like Vladimir Putin,” Schumer said.

Sen. John Kennedy, R-La., said he disagreed with Trump’s suggestion that Ukraine was responsible.

“Vladimir Putin started the war,” Kennedy said. “I also believe, from bitter experience, that Vladimir Putin is a gangster. He’s a gangster with a black heart” who has Soviet dictator Josef Stalin’s “taste for blood.”

Sen. Dick Durbin, D-Ill., said Trump’s words were insulting to the thousands of Ukrainians who have died in the war and he accused the president of parroting Putin. “I would call on President Trump to apologize to the people of Ukraine. “Donald Trump is a pushover for Putin.”

Senate Majority Leader John Thune of South Dakot said the Trump administration needed space as it seeks a resolution. “The president speaks for himself,”
Mtaelewa tu kwa Vladmir Putin ni mwamba
 
Kazi ya senate nin kama usa inaweza kuendeshwa na mtu mmoja hivyo huku tukiamin usa kuna mifumo check and balance
 
Back
Top Bottom