Mgogoro wa Ukraine, Maseneta wa Marekani Wasema Trump Ni Kibaraka wa Putin, Anaongea Kwa Niaba Yake Binafsi

Trump hajawai shindwa akiamua jambo lake...na hili yalishindwa tu.
 
Trump yup sahihi hatuwezi kuendelea na vita milele lazima ifikie sehem amani ipewe nafasi.
 
maseneta gani kwanza hao? ni domocrat au Republicans waliosema hivyo ? mnasahau vita ya ukraine imeikost USA billions of dollars wakati US haina mpaka na ukraine, hiyo fedha wanaihitaji huko kwao USA na siyo ukraine …
vipi na vita vya Gaza vimewakosti wayemen kiasi Gani je wana mpaka na israel
 
Trump yup sahihi hatuwezi kuendelea na vita milele lazima ifikie sehem amani ipewe nafasi.
anayeendelea na vita ni nani kati ya Urusi na Ukraine embu tujitahidi kupunguza unafiki wa kishabiki umeambiwa mvamizi na jambazi Putin anapewa kipaumbele na mvamiwa Ukraine anahukumiwa
 
CCM inakubaliana na ushoga/LGBQT?

Unajua Singeli wewe?

CCM inatambua vikundi vyote vinavyosapot uvunjifu wa maadili ya mtanzania na hata kuwaita kwenye vikao vya chama .

Na sasa Singeli umekua ni wimbo wa Taifa la CCM ?
Mziki uliojaa maudhui ya ushoga na Uharibifu wa taasisi ya ndoa .
 
Watakuwa democratics... Trump yeye ni mzee wa business. Soon ataondoa vikwazo kwa russia wakati ulaya wanashangaa shangaa na wanapambana na kununua mafuta na gas kwa bei juu kwa madalali wanaoyanunua kwa russia kisa hawataki yanunja directly.
Marekani inawauzia Ulaya LNG kwa bei kubwa kuliko waliyokuwa wananunua Russia
 
maseneta gani kwanza hao? ni domocrat au Republicans waliosema hivyo ? mnasahau vita ya ukraine imeikost USA billions of dollars wakati US haina mpaka na ukraine, hiyo fedha wanaihitaji huko kwao USA na siyo ukraine …

Jibu lipo ndani ya taarifa hiyo kuwa baadhi ni democrats na baadhi ni republicans.
 
Mtaelewa tu kwa Vladmir Putin ni mwamba
 
Kazi ya senate nin kama usa inaweza kuendeshwa na mtu mmoja hivyo huku tukiamin usa kuna mifumo check and balance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…