DOKEZO Mgogoro wa Wakulima na Wafugaji Kilosa umeanza upya. Serikali iingilie kati haraka, kuna hatari kubwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Haya mambo tuliyasahau kabisa kipindi cha Magufuli
 
Shida ya rushwa ni moja rushwa ya shilling elf mbili inaweza kukukosesha khaki yako ya million tatu

Kuongozwa na viongozi wapenda rushwa kama Samia na genge lake ni hatari sana
 
Kumbe bado kuanza kuokota maiti. Yy chura a.k.a Dalali Yuko bize na uchaguzi tu. Nchi wanajitafunia wenye meno uko
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kumbe bado kuanza kuokota maiti. Yy chura a.k.a Dalali Yuko bize na uchaguzi tu. Nchi wanajitafunia wenye meno uko
Kazi ni kipimo cha utu
Kusema ukweli ni mtihani mkubwa sana.
 
Mnateseka nini bro? siku hizi kuna dawa, sumu au chemikali unapuliza tu shambani alafu waache hao ng'ombe waje wale, wataokota maiti wataamua wakazike au wasafirishe. Ukweli mchungu wafugaji wana hela sana nchi hii. Masai haoni shida kuuza madume matano akatoa rushwa na humshindi. Hao viongozi wa serikali za mitaa, kata hadi wilaya wote wanalishwa na masai rushwa. Nimepitia tafiti nyingi sana zilizoandikwa kuhusiana na migogoro ya wakulima na wafugaji na karibia zote zinaonyesha nguvu waliyo nayo wafugaji ni kubwa kuwashinda wakulima
 
Kwa masai walivyo na hila wakila kwenye shamba lako Mifugo yao ikafa si watatuangamiza sisi na Familia zetu?
 
Lakini tatizo jingine maeneo ya kufuga yanavhukuliwa na serikali wanasema pori la akiba na mengine yanachukuliwa na jeshi
So huko mbele hali itazidi kuwa mbaya zaidi na zaidi
Punguzeni mifugo ili kuendana na hali malisho.
Maana hivi sasa mifugo ni wengi kuliko malisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…