SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,032
Jecha uchaguzi utapoisha na yeye ajiandae kufagia iwapo itadhibitika haya asemayo bint karume n kwel hakufata kanun za kufuta uchaguzi,tena apangiwe kufanya usafi bandarini hapo ili raia wanaoingia na kutoka huko zenji wamuone Kwa kipindi cha mwaka mzima.