GE2025 Mgombe Urais NCCR- Mageuzi: Yapo mazuri yaliyofanywa na Samia

GE2025 Mgombe Urais NCCR- Mageuzi: Yapo mazuri yaliyofanywa na Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, Haji Ambar Khamis, amekiri kuwa yapo mazuri mengi yaliyofanywa na serikali ya nchi hiyo, ikiwemo utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo, lakini ameongeza kusema kuwa, baadhi ya watendaji sio wazuri hivyo wanampotosha Rais.

 
Nimefuatilia kampeni za hawa vikaragosi nimeona mgombea wa NRA kidogo ana pointi yule mjuba, tofauti na wenzake wanajaza uchawa kwa mgombea wa ccm
 
Sasa mgombea ukianza kumsifia mshindani mwenzako haileti maana ya utofauti, unapeleka ushindi kwa mshindani wako na wewe unapungukiwa na pointi
 
Back
Top Bottom