Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Kumbe kura aziibiwi? Naendelea kuaamini kuna vyama vingine ni matawi ya halali kabisa ya CCM
==================
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia United People’s Democratic Party (UPDP), Twalib Kadege amesema hakuna kura inayoibwa, isipokuwa Watanzania hawajitokezi kupiga kura