LGE2024 Mgombea ACT- WAZALENDO: Mkituchagua tutaweka Wi-Fi ya bure kwenye Ofisi za Serikali za Mitaa

LGE2024 Mgombea ACT- WAZALENDO: Mkituchagua tutaweka Wi-Fi ya bure kwenye Ofisi za Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Mgombea nafasi ya Uenyekiti wa Mtaa wa Msimbazi Bondeni, Kata ya Mchikichini jimbo la Ilala jijini Dar es Salaam kupitia chama cha ACT Wazalendo, Risasi Semasaba ameahidi kufunga huduma ya mtandao ya Wi-Fi kwa ajili ya wananchi watakaofika katika ofisi za Serikali za Mitaa kupata huduma.

Soma pia: ACT Wazalendo: Waungeni mkono vijana uchaguzi wa Serikali za Mitaa


Chanzo: Swahili Times
 
Kumbe Uenyekiti unalipa aiseee,
 
Back
Top Bottom