Mgombea nafasi ya Uenyekiti wa Mtaa wa Msimbazi Bondeni, Kata ya Mchikichini jimbo la Ilala jijini Dar es Salaam kupitia chama cha ACT Wazalendo, Risasi Semasaba ameahidi kufunga huduma ya mtandao ya Wi-Fi kwa ajili ya wananchi watakaofika katika ofisi za Serikali za Mitaa kupata huduma.