QUALITY
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 853
- 115
Mgombea aliyenunua Kadi za kupigia kura Uchaguzi mkuu.
Siku ya Jumamosi nilisikuliza Radio Wapo FM. katika kipindi kilichorushwa saa za jioni kati ya saa 12 na saa moja, ilitolewa habari ya mhombea wa CCM aliyekuwa amecommission akina mama kadhaa kununua kadi zile za kupigia hapo 31.10.2010. baadhi ya wanawake hao walikuwa wamekamatwa na uchunguzi wa polisi ulikuwa unaendelea.
walipohojiwa walisema kuwa wametumwa na mgombea wa CCM (jina na jimbo nimelisahau). Sasa nilitaka kujua kama kuna aliye na habari zaidi atufahamishe. Maana inawezekana kwa vile ni wa CCM, asichukuliwe hatua. Tunajua hilo ni kosa la jinai. .... Karibuni kumwaga matirio zaidi. Nawasilisha