Mgombea atakayemleta Manzoki kwenye uchaguzi kesho hatufai

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Manzoki kaonekana uwanjani Leo kwenye mchezo na Coastal Union na kwa jinsi tunavyojua viongozi wamemleta ili kumpigia debe mgombea mmoja aonekane ni mkweli kwenye hoja zake za kuomba kura.

Tunajua Mangungu anapewa nafas kubwa ya kushinda na sababu za kumgharamia Manzoki ni kuwa kesho atapewa nafasi ya kuwaeleza wana Simba kuwa ameshindwa kujiunga kwa sababu ameumia huko China lakini msimu ujao atacheza Simba.

Upumbavu mtupu, kesho hatudanganyiki sisi.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 

Daah noma sana[emoji1477]
 
Ahadi za kuleta wachezaji wakubwa kwenye chaguzi za vilabu zinatumika sana hata Ulaya. Fuatilia kampeni za viongozi wa Real Madrid na Barcelona utalijua hilo. Kama kwako ni geni, basi vumilia maumivu. Utalizoea tu!
 
Nakwambia MBUMBUMBU FC mbona mtadanganyika tu..!!
 
Nimesikitika sana Simba kuwa na wachezaji wa KAWAIDA Mno na KUSHINDWA kusajili wachezaji wa Daraja la Juu.

1. Bambala.
2. Adebayor.
3. Azizi Ki.
4. Manzoki.
5.semanza sonze.
6. Makusu nk.

Kweli soka la Bongo ni uhuni uhuni tu.
Uhuni vipi timu imeshawahi kufika Robo ya CAFCL & CAFCC na nihivi karibuni, ila sio kosa lako ukiujua mpira utajua nini cha kuandika...
 
Ila na Basi la klabu lilionekana Jana.
CC: Gentamycine.
 

 

Attachments

  • 1674971373692.png
    56.9 KB · Views: 2
Uhuni vipi timu imeshawahi kufika Robo ya CAFCL & CAFCC na nihivi karibuni, ila sio kosa lako ukiujua mpira utajua nini cha kuandika...

1: Sawa Ile Simba ilikuwa ni Bora sana.
Ilikuwa na wachezaji wazuri kama....

Miquesson.
Lwanga.
Mugalu.
Bwalya.
Kagere.
Dilunga nk.

2. Nguvu inayotumika uwanja wa Mkapa ilikuwa ni kubwa Sana.
Hakuna mchezaji yoyote Simba wa kufananisha na hao.
 
1: Sawa Ile Simba ilikuwa ni Bora sana.
Ilikuwa na wachezaji wazuri kama....

Miquesson.
Lwanga.
Mugalu.
Bwalya.
Kagere.
Dilunga nk.

2. Nguvu inayotumika uwanja wa Mkapa ilikuwa ni kubwa Sana.
Hakuna mchezaji yoyote Simba wa kufananisha na hao.
1. Hiyo kikosi unayosema wewe haikujengwa kwa msimu mmoja kwa taarifa yako hao wachezaji walikuja kwa misimu tofauti tofauti.
2. Nguvu ipi? Unayoizungumzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…