Mgombea atakayemleta Manzoki kwenye uchaguzi kesho hatufai

Mgombea atakayemleta Manzoki kwenye uchaguzi kesho hatufai

1: Sawa Ile Simba ilikuwa ni Bora sana.
Ilikuwa na wachezaji wazuri kama....

Miquesson.
Lwanga.
Mugalu.
Bwalya.
Kagere.
Dilunga nk.

2. Nguvu inayotumika uwanja wa Mkapa ilikuwa ni kubwa Sana.
Hakuna mchezaji yoyote Simba wa kufananisha na hao.
Tuliosomea unajimu wa nyota hapa tumekuelewa [emoji847]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Manzoki kaonekana uwanjani Leo kwenye mchezo na Coastal Union na kwa jinsi tunavyojua viongozi wamemleta ili kumpigia debe mgombea mmoja aonekane ni mkweli kwenye hoja zake za kuomba kura.

Tunajua Mangungu anapewa nafas kubwa ya kushinda na sababu za kumgharamia Manzoki ni kuwa kesho atapewa nafasi ya kuwaeleza wana Simba kuwa ameshindwa kujiunga kwa sababu ameumia huko China lakini msimu ujao atacheza Simba.

Upumbavu mtupu, kesho hatudanganyiki sisi.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Kwahyo huyo dogo ameletwa Kuja kuwaahada wanasimba hvyo amelipiwa per diem na rearvation zote huu Ni ujinga sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom