Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo siyo takwimu zangu ndugu. Zimetolewa na kachero mbobezi Bernad Kamilius Membe. Wewe nani upinge?kama watanzania wataamua lakini hawajaamua hivyo unavyofikiria
MBMBEZI mtu ambaye hata kampeni imemshindaamebaki kuwa wa twiter tu jamani si usanii huuHizo siyo takwimu zangu ndugu. Zimetolewa na kachero mbobezi Bernad Kamilius Membe. Wewe nani upinge?
Soma vizuri uelewe hiyo comment yangu ya mwanzo. Membe Kisha ona Lisu anachukua nchi, na Maalim Seif anabeba Zanzibar. Sasa kwann ahangaike?MBMBEZI mtu ambaye hata kampeni imemshindaamebaki kuwa wa twiter tu jamani si usanii huu
Vipi mgombea huyu hasikiki kwa muda sasa toka amerejea kwenye "matibabu" Dubai?
Kama mitikasi imevurugika ACT Wazalendo, kwanini isiungane na Lissu kuongeza nguvu kama CHADEMA walivyoamua kumuunga Maalim Seif Zanzibar?
Yuko bize anaandaa baraza la mawaziri!Vipi mgombea huyu hasikiki kwa muda sasa toka amerejea kwenye "matibabu" Dubai?
Kama mitikasi imevurugika ACT Wazalendo, kwanini isiungane na Lissu kuongeza nguvu kama CHADEMA walivyoamua kumuunga Maalim Seif Zanzibar?
Mi naona hali imekuwa tete. Kama kuungana, kwanini wasinge ungana kabla ya kuanza kampeni?...
Kusema ukweli, mtu anayedhani CDM inachukua nchi mwaka huu, na muona kama punguani hivi. Kweli kabisa mshikaji wangu.Mitego yenu yote imepanguliwa kikachero mmebaki kulalamika tu mbona Membe hapigi kampeni.
CCM mwaka huu tunaifurusha Ikulu na 2025 tunaipeleka makumbusho ya taifa. Walishaleta Uhuru wapelekwe makubsho ya taifa ili kupisha siasa za ushindani zitakazoleta maendeleo ya kweli. Ili kupata maendeleo ya kweli chama dola lazima kipelekwe makumbusho ya taifa.
Yuko bize anaandaa baraza la mawaziri!
Kusema ukweli, mtu anayedhani CDM inachukua nchi mwaka huu, na muona kama punguani hivi. Kweli kabisa mshikaji wangu.
Sijui na wewe ni miongoni mwa walio sema hivi hivi 2015?...
Mimi sijawahi kuwa mpenzi wa siasa, ni sijawahi kupiga kura kwa sababu mojaWewe Magufuli akishinda atakutia njaa wewe na familia yako,badilika kijana.
Mimi 2015 nilimshabikia na kumpigia kura Magufuli nikitegemea atarudisha nidhamu kwenye utumishi wa umma ndiyo jambo lililokuwa linanikwaza kwenye utawala wa Kikwete kipindi hicho nikiwa mtumishi wa umma...
Mimi sijawahi kuwa mpenzi wa siasa, ni sijawahi kupiga kura kwa sababu moja
Niliona CCM wataendelea kufanya upuuzi ule ule na upinzani haujaweza nionyesha mtu wakusema huyu atatuvusha. Wengi midomo tu...