Mgombea Bernard Kamilius Membe wa ACT - Wazalendo amekwama?

Hizo siyo takwimu zangu ndugu. Zimetolewa na kachero mbobezi Bernad Kamilius Membe. Wewe nani upinge?
Membe ni nani atoe takwimu zisipingwe? Unapumliwa kisogoni wewe si bure.
 
Wewe MATAGA hujajiari acha uongo,sekta binafsi imekufa kabisa.Magufuli hana mambo mazuri ansyouafanya zaidi ya kuendelea kubaki kuwa na fikira za waziri wa ujenzi wa Kikwete. Magufuli ana anachokijua zaidi ya kuwa mnyapara wa barabara.
Unataka nikutumie leseni yangu ya kampuni? Ua nikutumie service kampuni yangu ulichofanya na inachofanya?

Yaani watu wanadhani wote sijui ni watoto waliozaliwa miaka ya 2000.

Kila mtu ana maisha yake humu. Hii ndiyo Jamii Forum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…