Hata mimi napenda mjadala kuhusu hili maana kwa nafasi ya Ubunge mgombea binafisi una tija lakini kwa nafasi ya Rais kwa watanzania jinsi tulivyo wachanga katika siasa na tunavyohongeka kirahisi tutapata vibaraka wa wageni hadi aibu. Hata utaratibu wa kuwachuja tu ni mgumu ila kwa Mbunge ni sawa.