mgombea binafsi ndani ya rasimu ya pili ya katiba

mgombea binafsi ndani ya rasimu ya pili ya katiba

mswangajr2010

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
41
Reaction score
9
kwa wale wenye taarifa zaidi na za uhakika ,nini hatma ya mgombea binafsi ndani ya rasimu mpya ya katiba.
 
Hata mimi napenda mjadala kuhusu hili maana kwa nafasi ya Ubunge mgombea binafisi una tija lakini kwa nafasi ya Rais kwa watanzania jinsi tulivyo wachanga katika siasa na tunavyohongeka kirahisi tutapata vibaraka wa wageni hadi aibu. Hata utaratibu wa kuwachuja tu ni mgumu ila kwa Mbunge ni sawa.
 
Kuwa na Mgombea binafsi upande wa Rais ni JANGA. Kwa Ubunge safi.
 
Back
Top Bottom