GE2025 Mgombea CCM amshutumu Mpinzani kwa kuwa na Wanawake wengi na Watoto kila mahali kwenye Kampeni

GE2025 Mgombea CCM amshutumu Mpinzani kwa kuwa na Wanawake wengi na Watoto kila mahali kwenye Kampeni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mgombea Udiwani katika Kata ya Mvumi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025, Hassan Mkopi baada ya kuwasilisha sera zake kwa Wananchi ikiwemo kusimamia miradi ya maendeleo ya jamii, ametumia jukwaa hilo kumshutumu mpinzani wake akisema hana maadili ya uongozi kwa kuwa na wanawake wengi na watoto kila mahali.

Msikilize hapa anavyoshusha nondo zake.

 
Mbona kakiuka makubaliano ya ile tume ya maadili ya uchaguzi kuwa hairuhuriwi ku attack persanal issue?

Huyo mgombea aangalie mgombea wake wa urais anafanyaje kampeni bila kumshambulia mshindani wake
 
Huo ni wivu tu. Maadili ya uongozi na kuzalisha wanawake + kuwa na watoto wengi, wapi na wapi! Labda kama hao wanawake wangekuwa ni wasaidizi wake, sawa tungesema amekiuka miiko ya uongozi.
 
Huo ni wivu tu. Maadili ya uongozi na kuzalisha wanawake + kuwa na watoto wengi, wapi na wapi! Labda kama hao wanawake wangekuwa ni wasaidizi wake, sawa tungesema amekiuka miiko ya uongozi.
 
Uyoo Hassan mkopiii ndo zakee anatukana mpk wananchiii....anauza Mali za wanakijiji,ananyasa vijana anawapa boda zakeee wakikalibia kumaliza marejesho anatum watu kuibaa anauza ananunua nyingine
 
Sasa kuna shida gani kuzalisha watoto?!!,kuzaa na wanawake tofautitofauti mi binafsi naona ndo UMWAMBA,hata machifu miaka hiyo walizaa na wanawake wengi!
 
Back
Top Bottom