Nadhani huyo mpiga mziki amekosa sababu ya kushawishi umma kwa kujiondoa kwake.kwani alivyoingia kwenye kinyang'anyiro aliambiwa atapewa ela?au aliingia kutafuta ela za CCM Wanazotoa kwa wagombea wa vyama vya upinzani ili wajitoe na kuwaacha wakiwa hawana wapinzani.Hata ccm wagombea hawajapewa ela pamoja na kuchangisha 50 bn.njaa itatumalizaSababu kubwa ya kujitoa ni kuwa Chama makao makuu kimeshindwa kutoa fungu la kumwezesha kufanya kampeini badala yake amekuwa akitumia fedha zake
hapo umechemsha.hoja ya msingi aliyosema FOCAS ni kutopewa ela ya kampeni kama ni suala la incompetence ya uongozi angekuwa ametoka kwenye chama tangu zamani,maana mbowe hajachaguliwa kuwa mkit baada ya kampeni kuanza.Mi nilishasema tangia awali. Chadema hamko serious. Mnabisha. Sasa kweli Chama ambacho kinataka kipewe nchi hawawezi hata kujipanga kuchagua wagombea wa ukweli. Watu wanawasikiliza, wanaingia kundini, baada ya kuona incompetence ya Mbowe jinsi anavyoendesha chama. Tartiibu wanakula kona. Its unfortunate, lakini as of now--hamko serious.
Huko Kagera CCM imekaa vibaya sana mwaka huu. Habari za kuaminika nilizozipata zinaeleza kuwa pia kumetokea jaribio la mgombea wa CCM wa jimbo la Bukobna Mjin -- Hamisi Kagasheki kumnunua Lwakatare wa Chadema, ili ama ajitoe klatika inyang'anyiro, au asitie nguvu nyingi katika kampeni yake. Inavyoonekana Kagasheki kapiga chini hapo.
Quinine,Hivi jamani mgombea wa Nkenge kupitia CHADEMA Bw. Focus au ni Walter Nyahoza nijuzeni.
Rutunga hiyo press conference mmefanyia wapi?Nipo kwenye hiyo press cof,ingawa imekwishasoma magazeti ya kesho,hasa gazeti la Uhuru kwani naomba mwandishi wao kama vile anaripoti live,kwani kila wakati anapiga simukazi kweli kweli mwaka huu
Quinine,
Hii ni moja ya blunders walizofanya Chadema Kagera wakati wa ku recruit wagombea. Si kwa Phocas tu bali wako na wagombea wengine katika mkoa huu ambao nina wasi wasi nao. Ni rahisi sana kununuliwa na wenye pesa sisi m.
Namfahamu kweli Phocas kama mwana harakati na mchukia uovu wa nchi hii na anaelewa vema taabu za nchi hii ingawa binafsi yeye anayo pesa nzuri ya kumsaidia kuendesha maisha yake. Nimewahi kuzungumza naye mara nyingi. Yeye tangu mwanzo hakuwa na mpango wala kusudi la kugombea mbali na kwamba alishawishiwa na wana sisi m wenyewe waliokuwa wamegalagazwa na yule mama wa sisi m mfanyakazi wa UWT anayejulikana kwa jina la Asumpta.
Inaelekea viongozi hao waliingia mkenge bila kufuatilia vizuri, wakamuondoa huyo Walter aliyekuwa amejitolea mwanzo kuingia vitani, badala yake wakamuweka huyu Bwana dakika za mwisho under the influence of these sisi m traitors. Haya ndio matokeo, tunayajutia na yametutia uchungu sana.
Well, tunsonga mbele. Tunahitaji kuijenga Chadema yenye nguvu huko Kagera. Najua kitu kimoja, siwezi kwenda sisi m kwa namna yoyote ile kama haijabadilika. Ni bora nikishindwa kabisa kuvumilia kukaa Chadema nitarudi kijiweni kuishi bila chama kama nilivyowahi kuwa huko nyuma, maana siamini kama kuna chama makini na cha hakika ingawa bado kichanga kama Chadema.
Nafikiri hata kugombea aliomba mwenyewe hakulazimishwa na mtu hiyo ndiyo demokrasia simlaumu waliobaki wataliendeleza libeneke, hata hivyo toka mwanzo alionyesha hali hiyo.
Kufuru hiyo Ustaadhi!njoo CCM kimbilio la kweli la wanyonge
Iko mkoa wa " Mkenge"Nkenge iko mkoa gani?
Halafu utamkuta kwenye foleni ya WATANGAZA nia 2015 anapeleka **** lake achaguliwe tena.Taarifa za sasa hivi ni kuwa mgombea ubunge kupitia CHADEMA Bw Focas amejiondoa katika kinyanganyiro hicho hivyo kuwacha wagombea wa CCM na CUFAwali ilidaiwa kuwa focas ambaye anamiliki vifaa vya mziki alidaiwa kupandikizwa na Dk Kamala aliyebwaga na Asumpta mshama katika kura za maoni.sababu za kujiondoa nitaweka hapa muda mfupi ngoja amalize kulonga na medianatumia simu