GE2025 Mgombea CHAUMMA adai yeye ni msela na mwaka huu ni mwaka wa masela kukaa Ikulu

GE2025 Mgombea CHAUMMA adai yeye ni msela na mwaka huu ni mwaka wa masela kukaa Ikulu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Salum Mwalimu ameonekana mahala akiomba masela wenzake wamchague ili msela mwenzao aingie ikulu na kutatua kero zao.

Naona CHAUMMA sasa imegeuka kuwa vituko.
 
CHAUMMA imepoteza umaarufu ghafla. Walikuwa wanajinadi kama chama Kikuu Cha upinzani naona Mpina kawaondoa kwenye game.
Hata mpina mwenyewe pia kapoteza mvuto baada ya kwenda ccm chipolopolo, sijui kwanini mtu asipokua cdm mvuto wa kisiasa unapotea ghafla
 
Anakumbuka lolote kuhusu case ya AKWILIN AKWILINA?
Ndiyo yule mwanachuo aliyeuwawa wakati salum mwalimu anagombea UBUNGE???
 
Ingekuwa ni mgombea wa Chadema angepewa onyo na msajili wa tume ya ccm kwa kuambiwa wameanza kampeni mapema kabla ya ratiba yake. Ila kwa kuwa Chaumma ni tawi la Ccm msajili hana sauti.
Chama pinzani ni chadema pekee nijuavyo Mimi ndio maana ccm inakiandama sana.
 
Salum Mwalimu ameonekana mahala akiomba masela wenzake wamchague ili msela mwenzao aingie ikulu na kutatua kero zao.

Naona CHAUMMA sasa imegeuka kuwa vituko.
View attachment 3444220
1755444841061.jpeg
 
Back
Top Bottom