Elections 2010 Mgombea gani yuko tayari kufanya hivi jumapili?

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
7,904
Reaction score
1,064
Picha+Nye.jpg

Maana viongozi wetu wengi tulio nao leo Tanzania wanapenda sana kujifanya miungu watu. Nani mwadhani atakuwa wa kwanza kujishusha kiasi hiki? Subiri mje muwaone mtaelewa nini nasema!

Nakuaminia mkuu
Hii imekaa vizuri!
Dr. Slaa anaweza
 
Nakuaminia mkuu
Hii imekaa vizuri!
Dr. Slaa anaweza
Ni kweli Dr Slaa anaweza maana iko obvious lakini vipi Kikwete? Anaweza kusimama kwenye msitari namna hii hivi? lazima patazungukwa na walinzi utadhani aliingizwa madarakani kwa nguvu.
 
ya kwa sababu anajua matendo yake ni maovu kipita kiasi we unadhani mfano wa familia ya Nguza Viking wanamtazama vizuri????
 
Picha+Nye.jpg

Maana viongozi wetu wengi tulio nao leo Tanzania wanapenda sana kujifanya miungu watu. Nani mwadhani atakuwa wa kwanza kujishusha kiasi hiki? Subiri mje muwaone mtaelewa nini nasema!

Mwl Nyerere ni mtu wa viwango vya juu sana lakini nina wasiwasi hiyo mijamaa iliyo nyuma na mbele yake ni mijitu ya UWT inazuga watu enzi hizo watu waliokuwa na uwezo wa kupigakaunda suti walikuwa wachache sana tazama kwa makini utagundua Mwl alikuwa mjanja sana.
 
Kwenye Gazeti la kila wiki la KULIKONI leo, Dr. Slaa anaonekana kuvaa viatu vya bei ya Tsh. elf 10, ikizidi sana elf 12!
 
Mwl Nyerere ni mtu wa viwango vya juu sana lakini nina wasiwasi hiyo mijamaa iliyo nyuma na mbele yake ni mijitu ya UWT inazuga watu enzi hizo watu waliokuwa na uwezo wa kupigakaunda suti walikuwa wachache sana tazama kwa makini utagundua Mwl alikuwa mjanja sana.

100% true mkuu, anaglia hata mikono yao ilivyokaa!!!
 
Back
Top Bottom